Inna lilaahi maa akhadha walahu ma A'atwa, wakulu shay-in ‘indahu bi ajali musammaa, faswbir wahtasib
Alhamdulillah! hapana shaka ni kiumbe chake Mwenyezi Mungu alichokitwaa na ni chake alichokitoa, na kila jambo kwake ni kwa wakati na muda maalum (uliopangwa) , basi wafanye subira (wafiwa) na wataraji malipo kwa kusubiri kwao. Mwenyezi mungu awape utulivu na amani katika kipindi hiki cha msiba Insha'Allah.
Hizi si tetesi kaka... ni kweli ndugu yetu amefariki siku ya Jumamosi... huko Zanzibar...!