Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 988
MR MASEMENTI, hili ni jina alilobatizwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi 2015- 2020 ndugu Bariki Kingu. Hili ni jina maarufu kutokana na tabia ya huyo ndugu kudhani kila wakati akiulizwa kero za wananchi anafikiria wanahitaji Mifuko ya sementi. Cha kuna tukio alilowahi kupita akaacha kuahidi mifuko ya saruji hata kama hitaji lao sio hilo.
Huyu jamaa alikuwa na uwezo wa kwenda Dukani kwa tajiri anayefahamiana naye vizuri akamrubuni amape mikufuko ya saruji na kujaza fuso nzima kisha kwenda kila kijiji kwenye jimbo na kuwahadaa wananchi kuwa huko alikotoka ameacha mifuko ya sementi wakati Mifuko aliyotoka nayo kwa tajiri idadi iko vile vile,akitoka hapo akienda kijiji kinachofuata anawadanganya kuwa ameacha mifuko mingine hali ya kuwa hajaacha hata mfuko moja, hivyo hivyo ni sementi! sementi! sementi. Chakushangaa hiyo fuso anayozunguka nayo haipungui Iko pale pale. Huu ni usanii wa hali ya juu sana