asante[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole basi
Kila la kheri. Zawadi ya magimbi ukirudi itanifaanini demi...unaweza kuja kama mwenye nauli ataruhusu twende wote.
wewe hutaki kwenda?Kila la kheri. Zawadi ya magimbi ukirudi itanifaa
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Woiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo Thad unataka mimi nikamalizwe nguvu zungu eeh!! [emoji20][emoji20]
nguvu zenyewe nusu na robo alafu akazimalize!
Hahahahaa,.watu tulifunga 3 kavu,tukapanda milimani kuomba, halafu nyaku-nyaku akunyakue kirahisi hivihivi mfyuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee! "mfaraka, chooni, mzee manyoka."
hizo sarakasi nitaziwezea wapi mimi!!
mumu wangu yeye sijui alikesha siku ngapi kanisani!!
Stakiwewe hutaki kwenda?
Ahsante my wanguNimekumiss tu my..
NakusalimiaAhahaaa nitawaaga.ila kuacha ngumu
hahahaAhahaaa ngoja niweke list yangu
Lazima niwaonje vibamia vyao
shikamoo brother ""[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] miss ujaue unaweza kukimbiza watu hapa wasirudi
hahahaa akikuta breki p...asisite kuja kuanzisha Uzi Humuwacha akapewe mzigo[emoji23] [emoji23]
indeedHuu ndio uhalisia wa wanawake wa mujini
hahaha weww jitie ushujaa tu usio kuwa nao ..utatupiwa jini kisirani " "" mwisho wasiku upatwe na kichaa uanze kutuvulia Nguo hapa JF ..wallahi mimi sinto fumba machoYaani namuhurumia sana huyu binti aiseee,.[emoji23][emoji23][emoji23]
koh koh koh...wivu naona mimiThats my hunito
usiniambie ...hahahaHivi miller yupo bongo kweli? Hata Mimi namlia timing tu nimuonje
aiseee.."" he he he[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Nafurahi kusikia hivyo pia my
Haha hiki kifua kina wema???koh koh koh...wivu naona mimi
duuuhhhh kumbe kuna Uzi uliondoka na watu Humu ""!!!!Sijui kweli..ban ilitembezwa kwenye uzi flan hivi.