hahaaSwahiba nasikia za chini ya karpet wewe ile inasomaga kilomita imekatika kitambo.
wema utoke wapi " mkuu " nahisi moyo una malaria tu hapaHaha hiki kifua kina wema???
Hahahaha malaria yamekujaje eti??wema utoke wapi " mkuu " nahisi moyo una malaria tu hapa
wivu ...hahaha mnabebishana mpaka mahasidi roho zinatobokaHahahaha malaria yamekujaje eti??
Hahahhahahahha jamani nina mwambia aongeze kila iitwayo leo sababu nataka kuwehuka mimi, hahahhaa akipunguza akampunguzie nani anipe vyote/ yotewallahi mwambie huyo archduke apunguze ..mtatutoa roho "
duuuhAhahaaa ngoja niweke list yangu
Lazima niwaonje vibamia vyao
nikipunguza atenda ICU sitaki matatizo na watoto wa watu mimiwallahi mwambie huyo archduke apunguze ..mtatutoa roho "
i give all my life to you with all my heart nini bado mpenziHahahhahahahha jamani nina mwambia aongeze kila iitwayo leo sababu nataka kuwehuka mimi, hahahhaa akipunguza akampunguzie nani anipe vyote/ yote
Hun, hakuna usichonipa babe, kwako napata nachotaka muda wowote nisipokua mkweli ntakua nafanya vibayai give all my life to you with all my heart nini bado mpenzi
Thats my mannikipunguza atenda ICU sitaki matatizo na watoto wa watu mimi
Em hukoo hahahahaa,.. Mm ni zaidi ya shujaa tena shupavu[emoji12][emoji23]hahaha weww jitie ushujaa tu usio kuwa nao ..utatupiwa jini kisirani " "" mwisho wasiku upatwe na kichaa uanze kutuvulia Nguo hapa JF ..wallahi mimi sinto fumba macho
Jamani Mr Miller wa watuNaenda kummaliza nguvu za kiume!!!
Jiandaeni kisaikolojia kwelikweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahaha sawaaaa....wanasemaga ulimi "" uliponza nini vile ""!??Em hukoo hahahahaa,.. Mm ni zaidi ya shujaa tena shupavu[emoji12][emoji23]
Hakuna kitu kama hicho kwa mumu...[emoji23][emoji12]hahaha sawaaaa....wanasemaga ulimi "" uliponza nini vile ""!??
mueleze mume wangu yupo busy inteligence ana elimisha yeye sasa anahangaika,hawezi kukujibu wala huwezi kumkera wewe mimi ndo mkewe najua namlisha nini mpaka asikujibuKama ni vita unapambana na adui asiepambana utamaliza silaha jamaa hana habari na kabsa.