Wanachama wazalendo kama wewe mnafaa kuongezewa marupurupu ya kutosha chamaniHapa yenyewe Niko najiseti
Mle mleeeWanaume wanaosemaga my my sio watamu.japo wana maneno matamu ya kutongoza na hawana vibamia
Nilikuwa bado naanda mistari ya kumtoa nyoka pangoni my...Hehehehehehhe mbona hukuanzisha uzi wa kunitafuta wangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Bee my wanguUnajua nini my..?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Swahiba nasikia za chini ya karpet wewe ile inasomaga kilomita imekatika kitambo.
Nimekumiss tu my..Bee my wangu
Mkuu hebu nifundishe namna ya kumjua aloyepigwa ban nimuokoe.Dah ngoja nikae kimya. Ila huu uzi umeniumiza sana.
My mwenza Shunie ukimaliza kutumikia ban pita huku
Embu ngoja nisome tu comments
Mkuu hebu nifundishe namna ya kumjua aloyepigwa ban nimuokoe.
Wana label usoniMkuu hebu nifundishe namna ya kumjua aloyepigwa ban nimuokoe.
Kabsa yanMaamuzi ya busara sana, hautayajutia kamwe
Duh kwahiyo wale wote wenye avatar za banned kumbe wako lockup?Inafanana fanana na avatar yangu ila yenyewe imeandikwa banned
usinune sweetie uwe mmbea daimaAya twende babe nitanuna sasa
Dooooh kumbe inakuwa ngumu kuwaokoa aiseeWana label usoni
Hahahahahhahahahahhahahsahaha hahahahhahaa hahhhha nimechekausinune sweetie uwe mmbea daima
Duh kwahiyo wale wote wenye avatar za banned kumbe wako lockup?
Avatar zao zina neno BANNED kwa herufi nyekundu.Ahaaha type mfano mmoja. Nikashuhudie.