Mr Miller,Daby,Humble African

Mimi na avatar yangu hii nitapendwa lini jamani!....Mshana jr please help me na mambo yako yale!![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Nimefatilia posts za mtoa mada nimejikuta naparalyse ghafla
 
Mr Miller,nshatengeneza mfaraka na nishautia chooni sasa hivi utamchukia mumu na kumuachia,nimekesha siku 3 kahama kwa mzee Manyoka kwa ajili yako mpenzi nakupenda njoo kwa mtoto white
aisee! "mfaraka, chooni, mzee manyoka."
hizo sarakasi nitaziwezea wapi mimi!!

mumu wangu yeye sijui alikesha siku ngapi kanisani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…