PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Kwel ngozi inachuma kunde. Labda uzee nao. Maana Mr Nice ni mwaka 2003 ndo alkua na kuku kapanda baiskelMbona sura yake kama kapiga lipu ya upeleupele au macho yangu tu!!!?
Kwel ngozi inachuma kunde. Labda uzee nao. Maana Mr Nice ni mwaka 2003 ndo alkua na kuku kapanda baiskel
Ukiwa kwenye gridi minjingu ina madhara yake.Mbona sura yake kama kapiga lipu ya upeleupele au macho yangu tu!!!?
Huo utakuwa uzushi tu.Ukiwa kwenye gridi minjingu ina madhara yake.
Mbona sura yake kama kapiga lipu ya upeleupele au macho yangu tu!!!?
Atakuwa ana tatizo la ngozi au kuna kitu anaumwa bado ni kijana under 40Kwel ngozi inachuma kunde. Labda uzee nao. Maana Mr Nice ni mwaka 2003 ndo alkua na kuku kapanda baiskel
Mmmh madaktari wa macho mpooo!Mbona kama anasikia baridi kali
Au we unaonaje hahaMmmh madaktari wa macho mpooo!
Yesterday is gone[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]Je,utarudi huku ??
Kila kitu kina Alfa na Omega,nadhani yuko kwenye Omega
Haaaa haaaa haaaa, jamaniKila kitu kina Alfa na Omega,nadhani yuko kwenye Omega
YallaaaaahMmmh madaktari wa macho mpooo!