Mr Nice apigwa?

labda alikuwa "location" akitengeneza movie
 
Ukiitazama kwa makini hiyo picha, hainyonyeshi kama kweli kapigwa... hii inaweza kuwa fix ya kurejesha umaarufu
 
midamu yote hiyo eti kapigwa aitoke vitunguu/asivimbe?sijaelewa
 
asipigwe kwani yeye nani? kama kachokoza watoto wa mbwa matokeo yake ni nini?
 
Mbona fulana haina damu? Ina maana damu yote iliganda kabla ya kutiririka kwenye fulana? Huyo kachorwa...!
 
Halafu uniiangalia sana hiyo picha inaonekana huyo mtu ana fanana na Mr Nice na si yeye kabisaaaaaaaaaaa
 
mmmh inawezekana lakini hebu anajua ful mkanda atupe si mnajua kuwa huyu alkuwa supa* tupeni wenye undani zaidi tafadhali
 
Mbona fulana haina damu? Ina maana damu yote iliganda kabla ya kutiririka kwenye fulana? Huyo kachorwa...!

Hata mimi niliwaza hivyo,damu itapakae uso mzima hata tone lisionekane kwenye flana? na hata kama kabadilisha flana alishindwa kuosha uso?
 
na wewe mtoa mada kuwa makini unapokuwa unasoma jaribu ku-concentrate, huwezi kutofautisha Damu na tomato souce? mambo ya acting hayo wewee
 
Ukiangalia vizuri utagundua, wakati wa kumpaka hiyo tomato..... walikuwa makini isimuingie machoni.
Angalia tena.
 
Halafu uniiangalia sana hiyo picha inaonekana huyo mtu ana fanana na Mr Nice na si yeye kabisaaaaaaaaaaa

Yeye ana upele usoni. Halafu huyu jamaa si ndiyo mzazi mwenzie na marehemu Diana Astonivilla aliyekuwa mnenguaji wa ASET?
 
Kapigwa kweli coz alichokoza mtu kwa kumwambia kamtapeli pesa walipokuwa club...matokeo yake jamaa akamtwangwa chupa ya uso na Mr Takeu kuzirai nusu saa!source Shigongo.:biggrin:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…