Weka NYUMBA yako basi mjombaAnatafuta kiki ana kibanda sio nyumba
Weka yako tufanye comparison mkuuAnatafuta kiki ana kibanda sio nyumba
We taulo ya kuogea haunaAnatafuta kiki ana kibanda sio nyumba
Braza nakuunga mkonoNilijua tu ile kuonekana kwenye kideo cha Harmonize ni njia ya kurejea upya maskioni mwa watu, soon utasikia ametoa wimbo. Halafu nitakuwa wa mwisho kuamini hiyo nyumba ni ya Mr. Nice, japo haina kiwango ila kwa akili ya huyo jamaa hawezi kuwa na nyumba hata hiyo, labda itakuwa ya huyo mamaake
Sent using Jamii Forums mobile app
Una akili sana mkuuUjumbe umejificha hapo kwenye familia yangu ilishajipanga! Nice hana nyumba ya kujenga au kununua yeye, asituletee usanii
Yaani nimesoma hapo ndiyo nimekumbuka bodyspray imeisha halafu nimefulia.We taulo ya kuogea hauna
Bodyspray mpk upite kwa mshkaji wako ujipulizie
Acha wivu wewe...
Hata kama ni kibanda THAMINI KITU CHAKO
Bora BASKELI YAKO KULIKO BMW YA BILLIGETS
baskeli yako itakusaidia hata kukusombea Maji
Hio BMW ya watu itakusaidia nini
Sent from Calculator Phone vesion007
Atapewa lift mkuu.We taulo ya kuogea hauna
Bodyspray mpk upite kwa mshkaji wako ujipulizie
Acha wivu wewe...
Hata kama ni kibanda THAMINI KITU CHAKO
Bora BASKELI YAKO KULIKO BMW YA BILLIGETS
baskeli yako itakusaidia hata kukusombea Maji
Hio BMW ya watu itakusaidia nini
Sent from Calculator Phone vesion007
Lift mwisho wake ni kutuma salam[emoji2]Atapewa lift mkuu.