Mr Nice hoi baada ya kula chakula chenye sumu

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
Mr Nice ameponea chupuchupu kupoteza maisha baada ya kudai kula chakula chenye sumu.

Mr Nice akiwa amelazwa hospitali

Kupitia ukurasa wake wa facebook Mr Nice ameandika:Mungu ni wakutumainiwa sana.maana atafanya atakalo yeye pale atakapotaka yeye na sii mwingine yoyote juu yake..food poison niliyopewa ilibidi leo 14/9/2015 watanzania muwe mkiongea lugha mbadala juu yangu hasa katika kuongeze jina langu kuwa refu kidogo(marehemu/hayati nk) lakini yesu wa nazarethi mama na babya yangu walisimama wima na kunifanya niendelee kupumua vyema hadi leo hii nimeweza kuandika sms hii kwa mikono yangu mwenyewe tena .niko hosptl kwa muda wa wiki mbili sasa toka jumanne iliyopita mwanzo,naishukuru familia yangu,doctors waliopigania kuokoa roho yangu,mzee wangu mgombea james lembeli(kahama),jamaa na marafiki wote miliopigania uhai wangu . kampeni hizi za kisiasa jamani ni za muda tu inabidi tujue kuna maisha yanatakiwa yaendelee baada ya kampeni na uchaguzi na yanatakiwa yaendelee kwa upendo mmoja , kuwekeana visasi kwa kuwa huyu anamkapenia fulani ama chama fulani hata mpaka tukafikishana katika hatua hii si jambo jema na mungu hapendezwi

…..asante mungu asante yesu,naomba sana waandishi msithubutu kunipigia wala kunitafuta kwa ajili ya kuzungumzia suala hili tafadhali huwa sipendi "kick" kwa kupitia matatizo …nimeweka post hii kwa ajili ya kuwashukuru friends wangu wa fb na wale wote walioniombea coz siwezi kuwafikiwa wote mmoja mmoja …asante yesu asante mungu kwa kunitolea tena katika tundu la sindano…nimekuwa nikikumbana na mengi makubwa na kuyashinda kwa uwezo wako tu .14/9/2015.


Chanzo: Bongo5
 
Mungu mkubwa.. Na kama ni kweli inahusika na masuala ya kisiasa ni wakati wabongo tubadilike, mawazo mgando ya kutaka kila mtu afikirie kama unavyofikiria wewe hayafai, hii ni nchibhuru na kila mtu ana haki ya kuwa upande wowote anaouona nibsahihi kwake
 
Kiki tuu hakuna wakutaka kumuua...!
 
Hivi nggoma siku hizi inaitwa siasa?,

Naamini ingekuwa unatumia jina lako halisi km ID usingeandika hivi, ni vile umejifucha ndio maana umepata confidence ya kuharisha namna hii!
 
Pole mr.Nice
Ila nani alikupiga picha na tumbo likiwa nje??
 
Kuna mdau alileta uzi jamvini kwamba mabwana afya wakiambatana na polisi walivamia mgahawa na kuanza kutia sumu kwenye vyakula kisa kinaandaliwa katika mazingira machafu so cholera ilikuwa ina nyemelea.

Yawezekana huyu njemba aliifakamia hizo menyu kwenye madampo halafu anataka kusingizia siasa.

Hivi kuna mwanasiasa anamtumia Lukas ku-mobilize watu kwenye kampeni zake kweli?

Je Lukas ni threat mpaka awindwe?
 
Hivi nggoma siku hizi inaitwa siasa?,


Kama hujawahi ku "do" na huna mpango wa ku "do" katika maisha yako basi endelea kuwakejeli unaohisi wameathirika na ngoma, Mungu akulinde wewe na kizazi chako, kuwa na Ngoma haimaanishi huwezi kufikwa na masahibu mengine, Mr. Nice wala sisi hatukujui ila Mungu anakujua na kukuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…