Mr. Nice hoi taabani Kahama mjini

ICHIMU

Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
58
Reaction score
12
Msanii wa kizazi kipya Mr.Nice amelazwa ktk dispensary ya Frorida mjini kahama...Ndugu jamaa na marafiki tunaomba msaada wenu kwani hata kula anakula kwa mpira na choo pia anatumia mpira..fika dispensary ya Frorida mtamkuta...
 
Msanii wa kizazi kipya Mr.Nice amelazwa ktk dispensary ya Frorida mjini kahama...Ndugu jamaa na marafiki tunaomba msaada wenu kwani hata kula anakula kwa mpira na choo pia anatumia mpira..fika dispensary ya Frorida mtamkuta...
poleni mkuu,ila habari hii ujaitendea haki kumbuka ili ni jukwaa la siasa
 
Nimepost Leo Watanzania hasa wasanii na vyombo vya habari waoneshe mchango wao angalau kidogo la sivyo yakitokea ya kutokea wasiandike chochote wakae kimnyaaa maana habari hii itauza na watapata faida
 
Huko Kahama alienda kufanya nini? Na ugonjwa umemuanza lini? Pole kama ni kweli Luka Mkenda
 
Dispensary inahudumia mgonjwa anayekula na kujisaidia kwa mpira tena Kahama!!!

Kumbe huduma za afya zimeboreshwa siku hizi?

BTW:Anataka msaada gani?
 
Kama skosei mara ya mwisho nilimuona hapo galaxy club kahama, wasanii waliokula hela za ccm fanyeni hima mkamsaidie msanii mwenzenu
 
aisee n balaa sasa,laiti 2ngalijua kesho yetu 2ngalijiepusha na mengi, MUNGU amjalie arud ktk hali yke
 
Nipo kahama tena maeneo ya hiyo dispensary. Nipita nimcheki
 
Pole sana wadau....

Ila nakumbuka CCM ilimtumia sana 2005 kwenye kampeni zao, saizi wamemsahau duuuh

Na Lowassa ndio alikuwa Meneja kampeni bila Shaka alimtumia hadi kukwaa upm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…