Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anapiga show kwa macheni nakulipwa mia tano na huyu jamaa alikuwa na hela katesasana kwenye game maisha bwana
siku hizi hakuna kwa macheni. pale pamebaki ni dangulo. harafu munaongea kishabiki sana. hana hela kama alizo kuwa nazo lakini vilevile hajachacha kiasi hicho. ana miaka saba hajafanya mziki. je wewe ukikaa miaka saba bila kazi utakua na hela?. anakuja sasa kivingine. kashakamilisha album na kutoa single moja ya kuiwakilisha ambayo ishaanza kufanyiwa video na katikati ya mwezi huu video itatoka. alikuwa kapumzika zake pemba. kumbuka bandi yake ya bush band bado inachapa kazi kama kawa.
ila na wewe.....kwa macheni ulifuata nn?