MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
Mambo mswano kwa saaaana mwana wane....... Msiwe na wasiwasi, ni swaumu ........ ahhh Kisukari na Pressure.
Mnamsemaga bure hebu ona anavyothaidia,eti pipi si ndio basic need ya watoto wa tanganyika eeh!!!
is it lovely or anoying!!?u decide!.
lav u all.
heri akupaye elimu kuliko chakula tena pipi anewei tuombe Mungu
Du we are not serious how can we carry the president in this way!! usalama uko wapi hapa! wallet ilipona
........na vyombo vyetu vya habari vikanyamazishwa hakuna hata kimoja kilicho weka hizi picha
thank u G, i terribly missed u too bro.
Ukiwa na matatizi ya kiafya inabidi utembee na vitu vitamu