Nilijua tuuWakuu Mr. Price yamewashinda kwa mara nyingine tena, wanafunga duka moja kwa moja.
Pia soma: Nakumat yainunua Shoprite Tanzania
Mazingira ya biashara bongo ni magumu sana au wenyewe ndio ndio wazinguaji?
Ilianza Shoprite wakabwaga manyanga, Game ikaangukia pua na sasa Mr. Price wamebwanga manyanga!
Mkuu Little More ni mchina anaweza akakomaa.Tuna little More... lazima wabwage manyanga
Watanzania hawana utamaduni wa kununua vitu supermarket wakidhani bei ni kubwa wakati siyo kweli ndo maana supermarket kubwa huwa hazitoboi bongoWakuu Mr. Price yamewashinda kwa mara nyingine tena, wanafunga duka moja kwa moja.
Pia soma: Nakumat yainunua Shoprite Tanzania
Mazingira ya biashara bongo ni magumu sana au wenyewe ndio ndio wazinguaji?
Ilianza Shoprite wakabwaga manyanga, Game ikaangukia pua na sasa Mr. Price wamebwanga manyanga!
Vijana wanajaza gallery tu .. wao huita "kujisnap" rejea comment hii.Ina maana nyomi lote linaloenda hapo mlimani City hawafanyi shopping, au watu wengi wanaishia kupiga selfie tu no kununua
Ova