mamso
Senior Member
- Feb 9, 2017
- 174
- 195
Hello
Mimi ni single mom [emoji2963] wa mtoto mmoja, nimeachana na mzazi mwenzangu na sijui hata yupo wapi kwa sasa. Natafuta mume miaka 35-50,
[emoji117]- awe tayari kumpenda mwanangu kama wake.
- Kupima afya
- Ajishughulishe na biashara au kazi
- Mkristo
-Mcha Mungu
- anipende nilivyo nami ntampenda alivyo. Naangalia upendo wa dhati.
[emoji117]Mimi na miaka 30,mjasiriamali, mnene,mweusi, Mkristo, naishi dar.
Mengine mengi tutaongea.
[emoji117]Walio serious tu, sipendi mtu aje hapa then aponde single mom, sio single mom wote wanaofurahia tunayopitia au tulipanga.
Siku njema.