Mr T Touch ana Chuki au ni matatizo ya Afya ya akili?

itakiamo

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,096
Reaction score
1,909
Binafsi namkubali sana Mr T Touch but jamaa amekuwa wa kiwaki sana siku hizi, muda wote anajaribu kuonesha ukubwa wake kwa lazima and sometimes kwa kutumia mbinu ya kumshusha mwengine aonékane si lolote, hii haipo sawa. Jamaa anahitaji cancelling
 
Namna ulivyo ileta taarifa yako ni kama watu wote tupo kichwani mwako. Kumbe mjomba ukweli hauko hivyo. Jaribu kuandika habari yako kwa kina ili ueleweke.
 
Ungetufafanulia huyo ni Nani kwanza na kafanyaje
 
Ngoma ikivuma sana! HUPASUKA.
 
S2kizzy umeamua kuja huku kuchamba umbea?? T Touch ni mkali kuliko wewe, em kubali bhana.
haiwezekani hata kidogo touch ni mchache namfahamu huyu Salim Kassim tokea akiwa mdogo R.I.P mzee kassim
 
Kumfahamu wewe binafsi ndio kufanye asiwe mkali? Mbona uko nje ya mada.
nimeandika in short wewe bishosti usinung'unike tulianza kupiga hizo vyombo kitambo hata kabla huyo anklo T haijui keyboard
 
nimeandika in short wewe bishosti usinung'unike tulianza kupiga hizo vyombo kitambo hata kabla huyo anklo T haijui keyboard
Wewe ni S2kzzy au chawa wake? Sikuelewiii
😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…