Mr Tanzania mwaka 1973 asema atatoa ufafanuzi kuhusu suala la Miss Tanzania mwaka 2006

Hahahahaha Mr. Tanzania '73 u know hatariz
 
Huyu baba anakuwa kurudi nyuma au? Haya mambo anayofanya hata Bob Junior siku hizi kaacha. sheee
 
mwenzangu, huyu mbaba jaman ana matatizo, anapata wapi muda wa kuzungumiza habari za watoto tena wa kike ambao hata sio umri wake,huyu mzee apimwe akili jaman sio mzima, yani anapenda attention sijawahi kuon
nilishaposti uzi humu tetesi ulaya ukiwa genius wanakuchoma sindano unakuwa chizi. Cheseya degrii tatu wewe halaf kiherehere unajifanya kujua jua kwenye nch za watu
 
Amatafuta followers huyu baba, na timu sepetu wasikilize miziki yake.
 
Waweza kukua mwili lakini sio akili....! Inasikitisha
 
Unajua Mzee JM alipoteza kijana makini sana Marehemu IPYANA (RIP)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…