Mr Ttouchez: Nikipata tatizo lolote mhusika Chidi Benz

Huyu jamaa Ameshakata Tamaa kabisa ...Lifestyle yake ndo imemfikisha hapa alipo hapa namzungumzia Bwana Rashidi Makwilo mtoto wa ilala Kota

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atoe taarifa na polisi kabisa.

Mteja hawana cha kupoteza, watu wanajifanya jeuri eti apambane kibishi, hayo maneno kwenye keyboard, kupambana hata na mtu mmoja mwenye silaha ni kazi.
Hayoo mambo tuwaachie kina donnie yen
 
Uoga tu,men mmelendemka sana siku hizi
 
Kabisa,chid karanduka but sio chizi kusema tu adai hiyo 50k frm nowhere. There must a reason behind ambayo touch anashindwa sema anabaki kutafuta sympathy,btw msema pweke mshindi tusikie na side ya chid kwanza
 
Sasa touch kuja kutuambia sisi ndo ili iweje,angeenda tu polisi kimya kimya btw uskute kiki ya wimbo mana hao nao hawa maana
 
Kama ni kweli Chid aonywe maana hajihurumii hali yake…
 
Kabisa,chid karanduka but sio chizi kusema tu adai hiyo 50k frm nowhere. There must a reason behind ambayo touch anashindwa sema anabaki kutafuta sympathy,btw msema pweke mshindi tusikie na side ya chid kwanza
Hata mimi nahisi kuna sababu sidhani kama chid anamdai from nowhere maana chid sio chizi kiasi hicho.
Nilikuwa nasoma comments za watu kwenye ukurasa wake touch watu kibao wanamlaumu kwa kufanya malipo studio kwake kwa ajili ya kurekodi au mixing halafu hafanyi anawapotezea tu.
 
Kabisa,chid karanduka but sio chizi kusema tu adai hiyo 50k frm nowhere. There must a reason behind ambayo touch anashindwa sema anabaki kutafuta sympathy,btw msema pweke mshindi tusikie na side ya chid kwanza
Aanzaye haonekani ila amalizaye siku zote ndo huonekana mkorofi
 
Movie zina waharibu vijana kuna mambo hayana application bongo usilete u nyuyoko manzese
 
Kwanini usitoe taarifa polisi? Halafu na wewe unaogopaje Teja?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah.
 
mpaka leo chid ni mtata kupita maelezo na anacompany kubwa sana ya wahuni kwa sie wakaz wa ilala tunamjua vizur mno

so usimchukulie kakonda hivyo kwa madawa ndo ukajua utamgusa tu aanguke weeh
 
Touchez unazingua , Chid Guta ndio anakutisha? Kwanza rafiki zake watukuwa type za chid huyo huyo mateja!!
We unawajua kina modi bize na wenzake au unawasikia.? Nimewah kukaa ilala boma hao majamaa zake wakorofi kweli alafu mbavu kinoma wangempasua jamaa mjanja kakimbia
 
We unawajua kina modi bize na wenzake au unawasikia.? Nimewah kukaa ilala boma hao majamaa zake wakorofi kweli alafu mbavu kinoma wangempasua jamaa mjanja kakimbia

Hao walikuwa zamani mkuu ,hata Kalapina alikuwa hatari ila kwasasa ni BOYA! Mod Bize hawezi kuwa na nguvu kama zamani au kuwa karibu na TEJA.
 
Hao walikuwa zamani mkuu ,hata Kalapina alikuwa hatari ila kwasasa ni BOYA! Mod Bize hawezi kuwa na nguvu kama zamani au kuwa karibu na TEJA.
Kuna kamanda mwingine simjui jina lake huyo hata wewe unakimbia me nakwambia huyo producer bora alivyokimbia hata visu wangempiga mkuu nakwambia me nimekaa hapo boma mzee wangu majamaa wavuta bange, modi bize ashawah kumrusha mwizi toka gorofa ya kwanza mpaka chin akatulia kichwa akafa modi bize hata kama hana nguvu sana ana roho mbaya kinoma yan mkuu producer bora alivyokimbia 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…