Mrabaha au mrahaba?

dazu

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2011
Posts
365
Reaction score
76
Wanajamvi naomba ufafanuzi, kipi kiswahili sahihi, kumaanisha ile token tunayopewa na wawekezaji wetu hasa kwenye madini: Mrahaba au mrabaha?
 
Mrahaba ndiyo sahihi ila MRABAHA sina uhakika kama ni sahihi.
 
Sahihi ni mrabaha. Inasemekana kuwa hili ni tatizo linalowakuta baadhi ya watu katika lugha zote wanaobadilisha nafasi ya tamshi katika neno. Kwa mfano, maralia badala ya malaria.
 
Hili neno lina utata sana, mimi nijuavyo sahihi ni 'mrabaha' (nadhani ikitokana na neno la kiarabu, 'murabahah') lakini kuna wengine wanasema sahihi ni 'mrahaba'. Iliwahi kusemwa bungeni hivi:


Nimeona hata google translation inachanganya hayo maneno mawili hivi: Mrahaba=Royalty , Mrabaha = Royalties!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…