Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Najua mnaishi mjini sana..mwambie atafute eneo kubwa ajenge nyumba nyingine pembezeni kidogo ya mji ambayo mtahamia kuishi huko..iyo nyumba ya mjini aikarabati katika mfumo iwe nyumba ya kupangisha ikiwezekana ajenge na nyumba nyingine hapohapo mjini palipochangamka iwe ya kupangisha so jumla ya nyumba zenye wapangaji mtakuwa nazo mbili hapo kila mwezi atakuwa anapata kodi..huko mtakapohamia etenge eneo kubwa kwa ajili ya ufugaji ng'ombe na kuku ikiwezekana na mifugo mingine alafu atafute kijana kutoka kijijini kwa ajili ya kuhudumia iyo mifugo na ambae atakuwa anamsaidia kuuza hizo bidhaa zitokanazo na mifugo kama maziwa..mayai..etc...kwa kuwa mama umri umeenda kama kuna visenti kidogo vitabaki hapohapo nyumbani mtakapohamia aweke duka la bidhaa za nyumbani so hapo ndo itakuwa sehemu yake ya kupiga Story na kupata hela ndogondogo...ukifuata huu ushauri najua kuna siku utanitafuta unishukuruWana JF habari zenu,
Mama yangu baada ya kunusurika na kikotoo ameniomba nimshauri kumpendekezea mradi ambao anaweza akaanzisha na kuusimamia yeye mwenyewe , pesa anazotegemea kupata ni Tshs.94,000,000. Fedha anayotegemea kuanzishia mradi ni tshs 90,000,000.
Nimeona ni vyema kuwashirikisha kupata mawazo mbadala,kwa kuwa ninaamini baadhi yetu wazazi wetu walisiitafu na kuanzisha miradi ambayo imekuwa imara na endelevu mpaka sasa.
Anapoishi ni Vijijini,yes anapenda mradi ambao atasimamia mwenyewe ila kwa kufuga ni ngumu kidogo kwa kuwa hamna soko la maziwa wala wayai.Atafute mazingira mazuri ajikite kwenye ufugaji!
Anaweza kufuga ng'ombe wa maziwa kwa Iringa Lita 1000 Na unakuta asas anafuata mpaka njombe ko demand bado ni kubwa!
Halafu ni mradi ambao hauleti stress sana!
Akipata mbegu nzuri angalau ya kutoa Lita 10+ inalipa sana!
Lakini kama anaweza anaweza akajikita kwenye ufugaji wa kuku Mfano chotara mahitaji ya mayai bado ni makubwa halafu haihitaji kutumia nguvu sana kuhudumia kama ng'ombe wa maziwa, Kwahiyo hii ata hawa wastaafu wanaweza kufanya!
Ingawa sijui kama atakuelewa Maana wastaafu na kununua nyumba mjini ni kama paka Na maziwa!
NB; Hiyo miradi inahitaji usimamizi wa karibu sana wa mwenye mali mwenyewe asije akajiroga kufuga kwa remote (yupo dar mradi upo njombe) atalia
Ndio Maana amekuja kuomba ushauri mkuu!Yani 90M yote muitupe kwenye mradi Loh! jina lako ni econometrician haujui au hautambui kwenye biashara kuna Profit and loss? Mtakula nyasi ohoooo
Mkuu kuwa mchumi sio kujua kila kitu,haya mambo ya uwekezaji yanahutaji ideas pia.Yani 90M yote muitupe kwenye mradi Loh! jina lako ni econometrician haujui au hautambui kwenye biashara kuna Profit and loss? Mtakula nyasi ohoooo
Ushauri umezingatiwa.Mradi wenye risk ndogo ni kujenga nyumba eneo zuri na kuipangisha kwa miaka mitano alafu unaiuza kwa faida,kama ni biashara kama unaweza kuingiza faida ya uhakika ya milioni moja na nusu kwa mwezi kwa mtaji wa milioni tisini siyo mbaya,wenye uzoefu na biashara watakwambia kwa mtaji huo ni faida ndogo lakini kumbuka ni bora kupata faida ndogo kuliko kurisk na kupoteza mtaji wote.
Ni wazo zuri kwa upande wake hasa ukizingatia na umri wake kwasababu hana ile kimuhe muhe cha kutengeneza faida ya haraka Kwahiyo hata akiwa anakusanya laki 2 kwa mwezi isoooooke!Anapoishi ni Vijijini,yes anapenda mradi ambao atasimamia mwenyewe ila kwa kufuga ni ngumu kidogo kwa kuwa hamna soko la maziwa wala wayai.
Pia alikuwa na lengo hilo la kununua nyumba mjini na kuipangish but binafsi yangu sikuona kama ni zuri sana.
Ni tahadhali tu mkuu nina ushuhuda wa Mwalimu wangu mmoja kastaafu 2016 alipata hiyohiyo 90M akawekeza vibaya mno kwenye kilimo cha vitunguu na matrekta pesa yote aliitia kule sasa hivi anatamani aajiriwe upya anafundisha kila amuonaye huko kijijini kwao Dish limeyumbaNdio Maana amekuja kuomba ushauri mkuu!
Halafu mbona hakuna mahali amesema kwenye biashara kuna faida tu !
[emoji23] [emoji23] [emoji23] vitunguu!Ni tahadhali tu mkuu nina ushuhuda wa Mwalimu wangu mmoja kastaafu 2016 alipata hiyohiyo 90M akawekeza vibaya mno kwenye kilimo cha vitunguu na matrekta pesa yote aliitia kule sasa hivi anatamani aajiriwe upya anafundisha kila amuonaye huko kijijini kwao Dish limeyumba
Tuna lengo la kutenganisha miradi tofauti,siyo kwamba yote itakwenda kwenye mradi 1Kwa mujibu wa maelezo yako mmepanga mtumie 90M yote mbakiwe na 4M tu aiseee kwa project yoyote mtakayoona inafaa tumieni fedha kidogo isizidi hata 15M kwa kuanzia mkikua kibiashara ndio muongeze mtaji.
.
Pesa ya pensheni inayeyuka kama karatasi, na msiukubali ushauri wa Wekeza kikubwa upate kikubwa.
Kwani hapati penshion ya kila mwezi??,mfano mama yeye kila mwezi anapewa tshs 500,000Ni tahadhali tu mkuu nina ushuhuda wa Mwalimu wangu mmoja kastaafu 2016 alipata hiyohiyo 90M akawekeza vibaya mno kwenye kilimo cha vitunguu na matrekta pesa yote aliitia kule sasa hivi anatamani aajiriwe upya anafundisha kila amuonaye huko kijijini kwao Dish limeyumba
Wanaita kilimo cha wasap.[emoji23] [emoji23]
[emoji23] vitunguu!
Alishawahi kula mkenge bro wangu
nahisi hupendi ata kusikia kuhusu hicho kilimo cha vitunguu
Anapewa au anatarajia kupewa?Kwani hapati penshion ya kila mwezi??,mfano mama yeye kila mwezi anapewa tshs 500,000