Hivi ni kwanini majeshi yetu yasiwe na mradi wa kuazima sare na vifaa vyao vingine, kwa malipo, kwa film industry ya Bongo ili yajitengenezee kipato? Si lazima waazimishe silaha zifanyazo kazi.
wazo lako ni zuri lakini haliendanio na kichwa cha habari yako.
Mimi kwa haraka nilijua unataka kuongelea kuanzisha majeshi au jeshi lako
teh teh basi kila mtu kumbe anageweza kuwa na kajeshi kake.....(just kidding)