JAMHURI
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 449
- 60
Mradi mkubwaa wa kilimo cha kisasa cha kibiashara zao la korosho na alizeti, waanza kupitia kampuni ya namaingo business agency ltd.
Mkurugenzi wa kampuni ya Namaingo anapongeza uongonzi wa halmashauri ya Kibiti kwa kutekeleza mradi huo katika kitongoji cha mbawa kijiji cha Ruaruke A kata ya Ruharuke
Mkuu wa wilaya alitoa chachu kubwa na pia uongozi na kurugenzi pamoja na baraza zima la madiwani wanastahili pongezi kwani katika mikakati ya kitaifa uchumi wa viwanda kampuni imekusudia kusimamia wanachama wake kufikia azima hiyo kwa kusindika mafuta ya alizeti na pia wakati wa zao la korosho pia kuongeza thamani zao la korosho
Mkurugenzi Biubwa ameipongeza kamati ya wanachama wa Namaingo kwa kuisaidia kampuni kutimiza ndoto yake kubwa ya Tanzania mpya
Alisema kuwa mradi huu unabeba watanzania zaidi ya 4000 na utatanua kilimo katika hekari 12000 katika mfumo wa block farming
Alisema kwa anaependa kwenda kujifunza awasiliane na ofisi au kamati ili kupelekwa eneo la tukio ili atoke akiwa anafahamu hakuna kinachoshindikana chini ya jua
Mkurugenzi huyo alisisitiza kwamba watanzania tufunguke tusizoe kuona jogoo kisha ukiambiwa yupo tembo unauliza yupo km jogoo ?jogoo ni jogoo na tembo ni mnyama mwingine, alisisitiza..
Sent using Jamii Forums mobile app