Mradi wa Bagamoyo ulitakiwa uanze kabla ya Bwawa la Nyerere, Rais Samia umetuheshimisha

Sasa hivi usalama wa Taifa unafanya kazi kuilinda ccm kuliko nchi, na sababu hasa ni kiongozi wa taasisi hiyo kutegemea fadhila za rais kukalia kiti hicho. Tabia binafsi za rais, ndio muongozo wa taasisi hii kufanya kazi.
Sasa hivi tuko vizuri mkuu!

Mama anatupeleka vizuri baada ya dhalimu wako kufariki
 
Andiko la Yericko akimpongeza Magufuli kwakushinda vita ya uchumi.

 
JPM alisema aliyoyasema baada ya kuangalia huo mkataba wa bandari ya Bagamoyo

Sasa nyinyi mbona mnaongea ongea tu wekeni hapa huo mkataba ambao JPM alikataa kuusaini ndio mtuambie kuwa aliyoyasema yalikuwa ya uongo hayapo katika mkataba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Usije kushangaa mwisho wa siku wenyewe wakaja kuibua uo ufisadi juu ya bandari ya bagamoyo ikiwa wao wenyewe ndiyo waliopigia debe
 
Hawa watu wafupi wakipata vitambi, wanakua wanafiki kweli asee.
 
Crap
 
Ulivyo na akili nyingi uliamini kipindi cha mwendazake nchi ilikuwa ni mali halali ya MATAGA pekee.
Mataga ni kina nani? Utabaki na hilo jina mataga huku umasikini unakutafuna na wenzio wanapiga hela!

Usifikiri unapotetea ujinga unamkomoa Magufuli na familia yake hapana! Wanakomoka familia na ukoo wako huko vijijini
 
Mama hataki dhulma.

Hatuna shida na mkataba maana hata yule dhalimu hakutuonesha mkataba wa ununuzi wa ndege, SGR, mwendokasi, ujenzi wa barabara na madaraja, flyover, stigilazi goji, ujenzi mjibwa chato, n.k
Sasa kwa akili kama hizi unataka na wewe ujiitw great thinker?
 
Mataga ni kina nani? Utabaki na hilo jina mataga huku umasikini unakutafuna na wenzio wanapiga hela!

Usifikiri unapotetea ujinga unamkomoa Magufuli na familia yake hapana! Wanakomoka familia na ukoo wako huko vijijini
umasikini wa akili ndio unatawala bongo nyingi za wanaomchukia magufuli.

angalia namna yao ya kujenga hoja ndipo utajua tatizo lilipo sio magufuli,bali wana chuki nayeye.
 
Wachina hadi leo hii wanahaha na mkataba mbovu wa Hong Kong - (UK wa miaka 100), sisi tutaweza kuwanusuru vizazi vijavyo kwa mkataba ambao unaangalia maslahi ya familia ya Jakaya Kikwete?

Huo mkataba lazima uwekwe wazi vinginevyo utaleta shida sana hapa Tanzania. Hatuwezi kukubali kuburuzwa na watu ambao akili zao zimeshikiliwa na ma-NGO's.

BTW priority ya SSH ni economic rights and justice ya ulimwengu tunaomba aachie uongozi wa Tanzania. Hatuwezi kuwa na kupe anayewafyonza Watanzania kwa maslahi ya wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…