Mradi wa Bomba la mafuta limeishia wapi?

Raia mpya

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2022
Posts
673
Reaction score
1,915
Habari niweza ule mradi mkubwa wa serikali wa bomba la mafuta kutokq Uganda mpka Tanga ,Tanzania umefikia wapi maana naona kimya.

Awali mwanzo kabisa wakati Magufuli yupo wakati anazindua mwaka 2017 ilikuwa mradi umalizikie 2021 ila mpaka sasa 2024 sijaoata update yeyote.

Mwenye majibu tafadhali naomba awakilishe
 
Awali mwanzo kabisa wakati Magufuli yupo wakati anazindua mwaka 2017 ilikuwa mradi umalizikie 2021 ila mpka sasa 2024 sijaoata update yeyote.
Mwenye majibu tafadhali naomba awakilishe
Unaishi nchi gani? Likamilike 2021 Ina maana kipindi linasimamisha ujenzi wewe ulikuwa wapi? Mradi upo na kasi yake sasa hivi kipande cha Nzega to Igunga wanalaza mabomba!
 
Habari niweza ule mradi mkubwa wa serikali wa bomba la mafuta kutokq Uganda mpka Tanga ,Tanzania umefikia wapi maana naona kimya.

Awali mwanzo kabisa wakati Magufuli yupo wakati anazindua mwaka 2017 ilikuwa mradi umalizikie 2021 ila mpaka sasa 2024 sijaoata update yeyote.

Mwenye majibu tafadhali naomba awakilishe
Nitaandika baadaye kuwa mradi huu ni upotevu mkubwa wa matrilioni ya maskini.
 
Back
Top Bottom