Mradi wa bonde la mto Msimbazi unaanza llini?

Mradi wa bonde la mto Msimbazi unaanza llini?

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
22,152
Reaction score
33,899
Wasalaam

Tuliambiwa na waziri husika mradi wa Bonde la Mto msimbazi unaanza January 2025

Kwani tayari walikuwa wamesign mkataba na world bank. Lkn mpaka leo kimya

Labda tuwaulize wahusika TAMISEMI mradi unaanza lini?
 
Back
Top Bottom