ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,152 Reaction score 33,899 Feb 21, 2025 #1 Wasalaam Tuliambiwa na waziri husika mradi wa Bonde la Mto msimbazi unaanza January 2025 Kwani tayari walikuwa wamesign mkataba na world bank. Lkn mpaka leo kimya Labda tuwaulize wahusika TAMISEMI mradi unaanza lini?
Wasalaam Tuliambiwa na waziri husika mradi wa Bonde la Mto msimbazi unaanza January 2025 Kwani tayari walikuwa wamesign mkataba na world bank. Lkn mpaka leo kimya Labda tuwaulize wahusika TAMISEMI mradi unaanza lini?