Habari za asubuhi wa jf,
Natarajia kufungua duka mahususi kwa ajili ya mahitaji madogomado ya nyumbani
kwahiyo naombeni msaada wa ufafanuzi kuhusiana na bidhaa zipi nianze nazo,na wapi zinapatikana kwa bei ya chini.
Zingatia:
mtaji 2.5millions
fremi ninayo
bidhaa kama;
Vyakula,vifaa vya kusafishia,soft drinks n.k
ukiambatanisha na bei zake itapendeza sana.
ahsanteni