Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Kuna baadhi ya wazembe waliokuwa wakisema kuwa mradi huu wa Konza city ni tembo mweupe. Sasa nawatupia kapicha ili muone kuwa mradi unaendelea vizuri bila bugdha.
Tazama picha ya satelite. Kazi ya kuchonga barabara inayoendelea huko sio ya kitoto.
Tazama picha ya satelite. Kazi ya kuchonga barabara inayoendelea huko sio ya kitoto.