Kuna baadhi ya wazembe waliokuwa wakisema kuwa mradi huu wa Konza city ni tembo mweupe. Sasa nawatupia kapicha ili muone kuwa mradi unaendelea vizuri bila bugdha.
Tazama picha ya satelite. Kazi ya kuchonga barabara inayoendelea huko sio ya kitoto.
View attachment 1571574
Which site did you get this current image from? My google Maps version is very outdated.Kuna baadhi ya wazembe waliokuwa wakisema kuwa mradi huu wa Konza city ni tembo mweupe. Sasa nawatupia kapicha ili muone kuwa mradi unaendelea vizuri bila bugdha.
Tazama picha ya satelite. Kazi ya kuchonga barabara inayoendelea huko sio ya kitoto.