Mradi wa kukopesha pesa

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,672
Reaction score
6,880
Nataka kuchukua mkopo wa milioni 10, kwa ajili ya kukopesha.

Naombeni ushauri kama hii kitu inafaa, pia mambo ya kuzingatia.
 
Usithubutu kwenda kukopa ili uanze biashara ya kukopesha, Ila kama hiyo ten M ni yako wewe mwenyewe go ahead ni biashara nzuri sana kama uko maeneo mazuri, for more information please contact me
 
Ni ngumu kufanyia hyo biashara kama pesa ya mkopo.kama unachukua hyo pesa fanyia mirad mingne
 
Mtu akikurusha ikoje kisheria kama huna leseni ya banki Kuu .. Naomba ufafanuzi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…