Mradi wa kuzalisha umeme kupitia gesi asilia wa Kinyerezi One
Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020- 2025, Ibara ya 63(i)(c) imeelekeza Kukamilisha ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia wa Kinyerezi I – Extension (MW 185).
Mradi huu sasa umekamilika ambapo mitambo yote minne (4) imewashwa na inachangia Megawati 185 katika Gridi ya Taifa.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store
#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama