kwa kuwa peru ni nchi mojawapo ambayo DART walienda kufanya uchunguzi na kijifunza wanavyoendesha mpango huu, ni dhahiri watafanya kama walivyojifunza huko, pia walienda india na US, wanaweza kuweka kaukuta ila wabongo walivyowabishi wataingia tuu katika hizo barabara, kuwakomesa ni kuwapiga faini, hapa nilipo kila makutano ya barabara kuna camera, ukivuka taa nyekundu tu, ushapigwa fine, au ukipita barabara za daladala zao, BUS LANE, kuna kipindi katika TV, kikieonyesha wapi kuna msongamani, wapi wanavunja sheria na wapi kuna ajali, watu wanashughulikiwa iasavyo, polisi wabongo wangukua na akili, hata waingekua masikini, ni kuinvest katika security cameras, watapata mapato kibao kutoka kwa wavunja sheria , hata vibaka, maeneo ya watu wengi, du ila nchi yetu mpaka tujute