Pfizer
JF-Expert Member
- Mar 25, 2021
- 590
- 807
KAZI YAKAMILIKA UTEKELEZAJI MRADI WA MAJI SAME-MWANGA
Mradi wa Maji Same-Mwanga maelekezo ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia makamu wa Rais Mhe Dkt Philip Isidor Mpango kwamba kazi ikamilike mwishoni mwa mwezi wa sita sasa yametimia.
Tone la kwanza la Maji Tenki kubwa la Mwisho Kiverenge ikiwa ni ishara kwamba kazi ya kuyafikisha maji tayari kwa kusambazwa kwa wananchi imekamilika.
Ikumbukwe Tone la maji kwa upande wa Tenki la Awali la Kisangara (clip ya 2) lilifika mwezi Mei ambapo wananchi wa karibu na maeneo hayo tayari wameyaonja maji ya Mradi huu uliochukua muda mrefu kukamilika wakimshukuru Mhe Rais kwa kutekeleza na kufanikisha jambo hili kubwa.