FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,356
Habari wana JF.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Lengo kuu la kuanzisha Uzi huu nikuomba ushauri na elimu juu ya mradi huu wa Mashine za Kusaga na Kukoboa Mpunga. Ushauri na Elimu kuhusu mradi huu uangazie katika maeneo makuu ya yafuatayo:-
(i) Gharama za kuanzisha mradi (initial investment costs)
(ii) Mahala/Eneo sahihi linalofaa kwa mradi huu
(iii) Mbinu na Mikakati ya usimamizi wa mradi husika
(iv) Mahala/wasambazaji sahihi wa mashine na vifaa vya mradi huu
(v) Changamoto za mradi husika na namna ya kukabiliana nazo.
Kwa namna ya pekee kabisa, napenda kuwakaribisha wote ktk kutoa maoni, ushauri, elimu na uzoefu kuhusu mradi huu.
Aidha, mchango wako, ushari, maoni na uzoefu wako ni muhimu sana ktk kufanikisha mradi huu na kwamba tutakuwa tumeweza kuwafungua wana JF walio wengi ambao wana mpango wa kuanzisha mradi kama huu, siyo hao tu bali hata wale ambao tayari wana mradi kam huu. Karibuni Sana.
Nawasilisha.