Mradi wa miti ya mbao

Mradi wa miti ya mbao

Joined
Apr 3, 2022
Posts
14
Reaction score
8
Ninaomba kufahamu kuhusu mradi wa miti ya mbao, ninawazo la kununua shamba na kupanda hiyo miti. Ninaomba kufahamisha kuhusu chochote kuhusiana na mradi huo kwa wenye uzoefu.
 
Ukihitaji maeneo ni cheki pia na parachichi Kuna maeneo kifanya- mikongo na mgala
 
Back
Top Bottom