A
Anonymous
Guest
Watu wa Shirika la Nyumba (NHC) Arusha mradi wa SAFARI CITY wanakera, tokea tulipe mwaka jana Oktoba hadi leo ni takriban mwaka sasa tunazungushwa kupewa viwanja vyetu na hati zetu hadi leo kwa kisingizio wanaweka mipaka.
Ofisini hawashindi, simu hawapokei hatupati msaada wowote. Inakera kiukweli tunashindwa kufanya maendeleo wala chochote.
Ofisini hawashindi, simu hawapokei hatupati msaada wowote. Inakera kiukweli tunashindwa kufanya maendeleo wala chochote.