Ule mradi ulikamilika,waliokataa kuuza mechi ni mwendo wa kubambikwa kesi.Mimi nauliza mradi wa kuwanunua wapinzani nani alikuwa anasimamia?
Hawawezi kulima miwa tena, miwa na sukari ni biashara ya wakubwa. NSSF kulima miwa halikuwa wazo lao bali wazo la Rais wa wakati huo. Hivi majuzi nilisoma habari kuwa NSSF kugeukia kilimo cha mkonge. Kwa fikira zangu mbovu hili nalo siyo wazo lao wala siyo wazo la rais aliyepo bali ni wazo la wafanyabiashara. Hapo lazima kuna mfanyabiashara anataka kuupiga mwingi.Jamani, mimi nilikuwa naulizia hivi ule mradi wa NSSF wakulima miwa ya sukari ulifikia wapi?
Mradi wenyewe mpaka sasa hivi umezalisha faida kiasi gani?
Miradi ikiwa mingi bila ufuatiliaji wa kuleta tija badae yaweza kuwa shida kwa wanaohitaji pesa yao kama wanachama.
Nilisikia tena NSSF wanatarajia kuingia kwenye mradi mwingine wa kulima Mkonge - Sisal kule mkoa wa Tanga.
Tunawatakia uwekezaji mwema.
Miwa ilitiwa sumu na ERIO ili kumuondosha Kahyarara yeye arithi mikoba lakini ikamshinda na yeye kaondokaHawawezi kulima miwa tena, miwa na sukari ni biashara ya wakubwa. NSSF kulima miwa halikuwa wazo lao bali wazo la Rais wa wakati huo. Hivi majuzi nilisoma habari kuwa NSSF kugeukia kilimo cha mkonge. Kwa fikira zangu mbovu hili nalo siyo wazo lao wala siyo wazo la rais aliyepo bali ni wazo la wafanyabiashara. Hapo lazima kuna mfanyabiashara anataka kuupiga mwingi.
Duuuuu!!! Sasa hapo tunafanya nini? National interest should be the best targetMiwa ilitiwa sumu na ERIO ili kumuondosha Kahyarara yeye arithi mikoba lakini ikamshinda na yeye kaondoka