DOKEZO Mradi wa SGR LOT 5 Ujenzi unasuasua sana

DOKEZO Mradi wa SGR LOT 5 Ujenzi unasuasua sana

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

TwinsOrg_88

Member
Joined
Apr 4, 2024
Posts
5
Reaction score
2
Habari Wakuu!

Kampuni ya China inayotengeneza SGR LOT 5 kutoka Isaka to Mwanza CCECC, inakaribia kuacha kuendelea na ujenzi huo wa reli sababu wanadai fedha nyingi serikali wanasema hawajalipwa wanatengeneza kwa fedha zao wenyewe kuanzia vifaa mpaka kulipa mishahara ya wafanyakazi, hivyo kwasasa ujenzi huo unasuasua sana kuendelea.

Kama hapa ninapoandika, wafanyakazi wamepewa likizo ya week nzima.
 
Huwezi fanya Uwekezaji wa kujikwamua kiuchumi huku ukifanya anasa.
 
Back
Top Bottom