RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Nimepita Jana kuelekea Mwanza na kujionea hali halisi ilivyo baada ya kufika eneo la mradi nimekuta walinzi tu wakilinda vifaa vya wachina hata hivyo baadhi ya watu waliopo kwenye mradi huo wameniambia mradi umekwama kwa kuwa serikali haijatoa hela yoyote.
Ndugu zangu ukweli usemwe hii serikali ni wakati wa kufanya maamuzi kuitoa MADARAKANI maana mambo muhimu imeyapuuzia na kufanya anasa za starehe kila wakati.
Ndugu zangu ukweli usemwe hii serikali ni wakati wa kufanya maamuzi kuitoa MADARAKANI maana mambo muhimu imeyapuuzia na kufanya anasa za starehe kila wakati.