Ukitegemea wachina ambao wanategemea wakukope kwako wakujengee kwa riba uwalipe tena wewe mwenyewe😅😅Nimepita Jana kuelekea mwanza nakujionea Hali halisi ilivyo baada ya kufika eneo la mradi nimekuta walinzi tu wakilinda vifaa vya wachina hata hivyo baadhi ya watu waliopo kwenye mradi huo wameniambia mradi umekwama kwa kuwa serikali haijatoa hela yoyote.
Ndugu zangu ukweli usemwe hii serikali NI wakati wa kufanya maamuzi kuitoa MADARAKANI maana mambo mhimu imeyapuuzia na kufanya anasa za starehe Kila wakati.
Very stupid of youNimepita Jana kuelekea Mwanza na kujionea hali halisi ilivyo baada ya kufika eneo la mradi nimekuta walinzi tu wakilinda vifaa vya wachina hata hivyo baadhi ya watu waliopo kwenye mradi huo wameniambia mradi umekwama kwa kuwa serikali haijatoa hela yoyote.
Ndugu zangu ukweli usemwe hii serikali ni wakati wa kufanya maamuzi kuitoa MADARAKANI maana mambo muhimu imeyapuuzia na kufanya anasa za starehe kila wakati.
Unatafuta ban mkuu, asubuhi yote hii ya mwisho wa mwezi Una makasiriko!Very stupid of you
Tatizo la kuchelewa mradi kama huu, gharama zinaanza zinaongezeka due to inflation, loan interest etc.. Makisio ya kipade hiki ilikuwa $1.3 billion. Ukicheleweshwa tutajikuta tunalipa $2.0 billion au zaidiHivi ujenzi wa SGR ni jambo la dharura kwamba liishe haraka haraka? Mbona hata sisi nyumba zetu tunajenga kwa kuunga unga, unaanza kukusanya mawe, tofali, unaweka msingi baadae unapotea, unarudi unapandisha boma.
Sisi hawa wenye uchumi wa kuunga unga ndio hao hao kodi zetu zinafadhili ujenzi wa SGR, tungekuwa na uchumi mkubwa hata majumba yetu tungejenga fast, na kodi tungelipa nyingi reli iishe fasta.
Ujenzi wa reli hiyo ni sawa na bajeti ya Tanzania ya mwaka na nusu bila kutumia hela hizo kwa jambo lolote, iwe dawa, elimu, Barbara.......
Halafu hivi kuna mtu ana mzigo wa dharura huko?