Mradi wa shamba la samaki

BabaKasheshe

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
211
Reaction score
45
wadau ninataka kanzisha shamba la samaki hapa dar es salaam kwa aina mbalimbali za samaki, naomba mwenye kuelewa vizuri anieleze namna ya kufanya au mwenye buss plan anisaidie. Am nijue ni wapi niende kwa ajili ya melekezo zaidi. asante sana
 
Mradi unaotaka kuuanzisha ni wa ukubwa gani (kwa maana ya uwezo wa uzalishaji wa samaki kwa mwezi, mwaka, n.k) ?
Una mtaji kiasi gani (kwa maana ya ukubwa wa eneo la mradi na raslimali nyingine za mradi huo) ?
 
nashukuru kaka, kutokana na kwamba sina uzoefu wowote ndo nataka kupata maelezo yoote ya mradi....eneo sio kubwa sana say 10mX10m...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…