Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

GKM

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
738
Reaction score
328
Wakuu nawasalimu sana. Napenda kabla ya yote niappreciate michango yenu hasa katika forum hii, imekuwa ikinisaidia sana. Sasa turudi kwenye uzi huo hapo juu:
Naomba mwenye ushauri juu ya jambo hilo anisaidie please, nipo dar natamani kuanza mradi huo januari mwakani. Mpango ni kuwa na ng'ombe bora kama 10 hivi (wenye uwezo wa kutoa minimum of 10 liters/ng,ombe per day), shamba kwa ajili ya kufugia na kuotesha malisho ya mifugo hiyo (about 6 acres). Naomba ushauri kuhusu yafuatayo:

Mbegu bora ya ng'ombe wa maziwa

Eneo lililopo nje kidogo ya mji ambalo naweza kulitumia( kwa kulinunua)

Ushauri wa namna bora ya kufanya mradi huo.

Please kwa anaejua possible costs za eneo na ng'ombe wazuri nitashukuru.
 
Ng,ombe wazuri ni wale wenye asili ya ufaransa katika kisiwa cha island, wanafahamika kama fresian,na wanastawi zaidi sehemu ambazo hakuna joto.
 
Back
Top Bottom