joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wakenya wote wanaugua "Mania mental illness", kupenda kujikweza na kujisifia sana.To wazee wa renders mara superhighway Mombasa-Nairobi mara kile mara hiki! Wazee wa kusema na kusema!
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096
1.Sgr mwaka huu 2020 phase I isipoisha hutaniona tena apa nikizungumzia Mradi wowote wa GoTTutaipiku Kenya pia failed long time ago
Bagamoyo Port ilizinduliwa Mara Kama 50.
SGR Tz hata Km 50 sheeeda[emoji23]
Strugglers gorge.
Kigamboni City [emoji16]
ATCL kwa cash zetu imrishia kufichwa isikamatwe kwa madeni.
Hoima Tanga Pipeline dead
Kibaka bypass only 19km na zimewashinda [emoji6]
Dodoma relocation and development too insignificant juakali like construction.
Bullet train turned out to be these konyagi barrels
View attachment 1374768
BRT looks like a political rally where idle citizens waiting for their Jemedari Magu.
Mitungi ya konyagi
View attachment 1374768View attachment 1374771View attachment 1374773
1.Sgr mwaka huu 2020 phase I isipoisha hutaniona tena apa nikizungumzia Mradi wowote wa GoT
2.Kimara-Kibaha highway earth works iko almost complete wanaendelea vizur huu mradi hadi Dec utakua 99%complete
3.Stieglers gorge Mradi ndio bado mbichi ila uko U/C
4.Issue ya dodoma reallocation hii project iko on fire apa bishia uzoefu huna fact yyte
5.Kuhusu ATCL ndege mwaka huu tatu zitakuja ukiona umeumia sana unaweza Saga chupa umeze ule unga wake
6.Mradi wa kigamboni uko stalled apa nenda kapike pilau hoja yako inamashiko
7.Mradi wa bagamoyo ulikua na utata magu ameustop mpaka pale itakapokua vinginevyo ,hapa unaweza kuagiza mirinda nyeusi ukazie kwenye pilau lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Residents back 61-storey Palm Exotica in WatamuKenya may have to wait a little longer before it can have bragging rights for hosting the tallest skyscraper in Africa or just forget it altogether
Ni mfululizo wa miradi mingi iliyoishia katika makaratasi, tujikumbishe kidogo
1)Green field terminal
2)Laptop per Child
3)Gulana Kulalu irrigation project
4)5 Modern stadia
5)SGR to Kisumu and Malaba
6)Electrification of SGR
7)Super Nairobi to Mombasa high way
8)BRT
9)Light commuter trains
10)Crude oil pipeline from Lokachir
11)..............
Sent using Jamii Forums mobile app
nema walikuwa wapi? wakaacha wakachimba? who pays for the cost incurred?Aisee, ndio maana huwa nawaambia msome taarifa kwanza kabla ya kucomment. Yaani hata mleta mada hujaona kwamba wawekezaji wamenyimwa vibali na NEMA(National Environmental Management Authority), shirika la kiserikali la kushughulikia masuala ya mazingira? [emoji1] Kisha wakaambiwa kwamba wabadilishe design au watafute site nyingine. Hivi nyinyi wanakwaya huwa mmerogwa au? [emoji23] Kuna hadi watu wanaipa taarifa like na wengine wanasumbua wenzao na tags! [emoji38] Tena mradi wenyewe sio wa serikali. @Nickxie, hawa watu wana matatizo ya akili, eti wanasema ni mradi wa jijini Nairobi wakati imeandikwa wazi, Watamu, Mombasani!
Ona sasa, uchimbaji wenyewe ambao unafanywa kwenye ufukwe baharini si ndio umefanya NEMA wakisamisha mradi huo? Kulingana na NEMA wawekezaji wamekiuka 'plans', 'framework' zote na 'regulations' za NEMA kwenye mradi wa sampuli hiyo. Jombaa, hiyo taarifa inajieleza wazi tu, tena ni fupi na ukiisoma hata mara tano haitakupotezea sekunde 90. Huu uelewa wako finyu unatilia sana mashakani elimu yako. Kumbe wewe ni mmoja wa walioenda shuleni kuiba miwa? [emoji1]nema walikuwa wapi? wakaacha wakachimba? who pays for the cost incurred?
8. Tutaipiku Kenya 😂1.Sgr mwaka huu 2020 phase I isipoisha hutaniona tena apa nikizungumzia Mradi wowote wa GoT
2.Kimara-Kibaha highway earth works iko almost complete wanaendelea vizur huu mradi hadi Dec utakua 99%complete
3.Stieglers gorge Mradi ndio bado mbichi ila uko U/C
4.Issue ya dodoma reallocation hii project iko on fire apa bishia uzoefu huna fact yyte
5.Kuhusu ATCL ndege mwaka huu tatu zitakuja ukiona umeumia sana unaweza Saga chupa umeze ule unga wake
6.Mradi wa kigamboni uko stalled apa nenda kapike pilau hoja yako inamashiko
7.Mradi wa bagamoyo ulikua na utata magu ameustop mpaka pale itakapokua vinginevyo ,hapa unaweza kuagiza mirinda nyeusi ukazie kwenye pilau lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nchi gani haina food security?huwez kula thika highway8. Tutaipiku Kenya [emoji23]
Hahahaha, ninawasikiliza jinsi mnavyoweweseka, ninyi ni watu wa hovyo sana.
Ni Nchi ngapi zimeshindwa kuipiku Kenya ilhali Zina food security na hazina jangwa?
Kuipiku katika nini wakati mnakufa njaa, madeni yamewazidi, mnashindwa hata kuifikisha reli Kisumu, sasa unataka kushindana na katika nini?, hatutatiki maneno matupu, tunataka kuona matendo.Ni Nchi ngapi zimeshindwa kuipiku Kenya ilhali Zina food security na hazina jangwa?
Hata sisi tunajadili miradi iliyoshindikana Tz Kama vile Bagamoyo, ATCL, Pipeline, Kigamboni City, Koroshow, SGR Yani Kila kitu Hadi barabara na njaa Hadi Kila kinyesi, Barrick kutowalipa mabillioni ya $, GDP bado mpo $60b(LDC), Umeme 1350 MW(wapi strugglers gorge). The only successful thing in Tz so far no kuzaaana Kama panya.Hahahaha, ninawasikiliza jinsi mnavyoweweseka, ninyi ni watu wa hovyo sana.
1)Kuna wakenya wanasema huu sio mradi wa serikali kwahiyo hawahusiki kwa lolote, kwani Bagamoyo port ulikua ni mradi wa serikali?
2)Tunazungumzia miradi mikubwa iliyoshindikana Kenya, sio lazima iwe Nairobi, ni ujinga kutumia kigezo cha neno Nairobi lililotumiwa katika "headings" kulitumia kujitetea.
3)Vipi Kuhusu hiyo miradi mingine iliyohorodheshwa ambayo yote imeishia njiani?
Sent using Jamii Forums mobile app
that building is not in nairobi, jengo liko malindiKenya may have to wait a little longer before it can have bragging rights for hosting the tallest skyscraper in Africa or just forget it altogether
Ni mfululizo wa miradi mingi iliyoishia katika makaratasi, tujikumbishe kidogo
1)Green field terminal
2)Laptop per Child
3)Gulana Kulalu irrigation project
4)5 Modern stadia
5)SGR to Kisumu and Malaba
6)Electrification of SGR
7)Super Nairobi to Mombasa high way
8)BRT
9)Light commuter trains
10)Crude oil pipeline from Lokachir
11)..............
Sent using Jamii Forums mobile app