Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) una faida nyingi kwa Watanzania

Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) una faida nyingi kwa Watanzania

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) unafaida nyingi kwa watanzania ikiwemo:

1. Utoaji wa ajira, mpaka sasa mradi huu wa SGR umetoa ajira za moja kwa moja zaidi ya elfu 20 na kulipa mishahara ya dola za Marekani Milioni 102 ambazo ni sawa na Bilioni 238 za kitanzania

2. Mradi huo utaifanya Tanzania kuwa kitovu cha usafirishaji pia kitovu cha biashara.

3. Vilevile mradi huo umetoa zabuni za dola za kimarekani milioni 820 kwa watanzania na kuiwezesha serikali kukusanya kodi yenye jumla ya dola milioni 450 sawa na Tsh 949 za kitanzania.

Rais Samia Suluhu alisema hakuna mradi uliosimama na kweli sisi ni mashahidi tunaona utekelezaji unaendelea.
 
Ndiyo hii mradi wanayo inunulia mabehewa used au siyo hii

Kama ni hii basi hakuna la maana sana.
 
Ndiyo hii mradi wanayo inunulia mabehewa used au siyo hii
Kama ni hii basi hakuna la maana sana.....,
Tatizo lipo katika usimamizi tu ila kama usimamizi utakua mzuri ni mradi mzuri sana katika ukuaji wa uchumi.
 
Back
Top Bottom