mkuu ni vipi? Mugumu ndo nyumbani?
Kwa kifupi mkuu
1. Ule uwanja ni kama ile barabara ya serengeti, madai yake yanafanana.
2. Wanamazingira wanaupiga vita sana wakiongozwa na kenya, wanadai nyumbu watakuwa hawazai.
- vilevile mimi ni navyo ona yule mzungu anaye jenga ule uwanja mahesabu yake yaani strtategies naona hazijakaa sawa.
3. Na ikumbukwe kwamba kuna link kubwa sana kati ya barabara ya kupita hifadhini na ule uwanja