Mrakibu Msaidizi wa Polisi Fatuma Kigondo afunguliwa shtaka la kutuma vijana kufanya ukatili kwa binti wa Yombo

Mrakibu Msaidizi wa Polisi Fatuma Kigondo afunguliwa shtaka la kutuma vijana kufanya ukatili kwa binti wa Yombo

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Leo, 20.08.2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imesajili (Admission No. 000058901) malalamiko (complaint) ya Wakili Kisabo dhidi ya Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) FATUMA KIGONDO ambaye ndiye “afande” aliyetuma genge lake la uhalifu kumbaka na kumlawiti JM.

Pia soma: 'Afande' aliyeagiza binti wa Yombo abakwe pamoja na mtuhumiwa wa 5 wako wapi? Kwanini wanamlinda kiasi hiki?

GVabAm5XwAA2yFy.jpg

Pia soma
 
ok,sasa hapo DPP akisema hana nia ya kuendelea na hiyo kesi kama ujuavyo mfumo wetu wa haki ulivyo..mahakama si itabidi iifutilie mbali hiyo kesi!
Kwani Kesi hiyo imefunguliwa na DPP hadi afikie hatua ya yeye kusema kwamba hana Nia ya kuendelea na Kesi?
Mtu aliyefungua Kesi Mahakamani ndiye mwenye mamlaka ya kusema kwamba Hana Nia ya kuendelea na Kesi.
 
Back
Top Bottom