Kama hii ni kweli basi sasa tumefanywa wajinga wa kutupwa. Mtu ana kesi mahakamani ya wizi wa fedha halafu ana pewa wadhifa kama huo? ONLY IN TANZANIA, THE LAND OF KILIMANJARO & UFISADI!
Si utani tena Kilimanjaro yenyewe iliyotakiwa iwe mfano?Teh teh teh!Ndio imekuwa mfano wa ufisadi moja kwa moja...Hata hivyo ni muhimu tuwajuwe hao wanabodi,maana mafisadi wako kila mahali na wanajuana,ama labda wanabodi hao wanataarifa za kiundani kwamba kesi ya Mramba ni usanii tu?Kama hii ni kweli basi sasa tumefanywa wajinga wa kutupwa. Mtu ana kesi mahakamani ya wizi wa fedha halafu ana pewa wadhifa kama huo? ONLY IN TANZANIA, THE LAND OF KILIMANJARO & UFISADI!
- Ni lazima ujue kwanza forces zilizohusika kumtoa kwa dhamana, the dataz ni kwamba nguvu kubwa ya ukabila ilitumika tena na wenye nafasi kubwa sana Nationally sasa na zamani, sasa hii ni in your face message kwa Muungwana na waziri wake wa sheria, don't you dare again!
- Nani anabisha?
Respect.
FMEs!
Heshma mbele Field Marshall ES; Unasema "Nguvu kubwa ya ukabila" iliweza kumtoa kwa dhamana na hiyo nguvu ya ukabila kama "in your face message" ndiyo inamtisha muungwana na waziri wake wa sheria...How?
- Mkulu Mushi, heshima yako bros nani amempa Mramba hii nafasi ya kuwa makamu wa RC, aliyechaguliwa na Rais? Halafu masuala mengine ni logic zaidi kuliko facts of the matter, hivi Tanzania nzima mafisadi ni yona, Mramba, na Mgonja tu? Na wote ilikuwa ni lazima wawe kutoka Kilimanjaro tu kama mfano kwa taifa why not makabila mengine?
- Now think about it, then utaelewa ninachosema ambayo ni maoni yangu tu!
Respect.
FMEs!
Malafyale,MBUNGE wa Rombo, Basil Mramba, amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoani Kilimanjaro.
Mramba ambaye amepata kuwa Waziri wa Fedha wakati wa Serikali ya awamu ya tatu chini ya Rais Benjamin Mkapa, alichaguliwa kushika wadhifa huo jana wakati wa kikao cha bodi hiyo kilichofanyika mjini hapa.
Mbunge huyo ambaye kwa sasa anakabiliwa na kesi ya ufisadi ya matumizi mabaya ya fedha za serikali zaidi ya sh bilioni 11.7 wakati akiwa Waziri wa Fedha, atashika nafasi hiyo chini ya Mwenyekiti wa Bodi hiyo ambaye kwa utaratibu mpya wa serikali, ni mkuu wa mkoa huo, Monica Mbega.
Hawawezi kudai. Wanajua ziliishia mifukoni mwa akina nani. Nasikia hata Mramba kutinga mahakamani ni kwa sababu ya kumpunja mshiko muishimiwa...watu tukisema CCM imeoza mnafikiri tunatania.
NB:
..hivi kwanini serikali hawaidai Alex Stuart fedha za tax exemption waliyopewa na Mramba na Mgonja?