balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,743
- 13,657
Habarini Wadau
Tunasikitika sana Kuleta Tangazo la Kifo cha Ajali ya Gari iliyotokea leo Iguguno shamba high way ya Singida Mwanza.
Mr. Adam Msangi aliekuwa mratibu wa Tasaf Wilaya ya Iramba amefariki kwa ajali hiyo ya gari majira ya alfajili ya kuamka leo.
Inauumiza sana kwani Mratibu huyu ni miongoni mwa waratibu bora kabisa wa Miradi Mingi ya Tasaf wilayani Iramba na alishapata mafanikio makubwa kuisongesha Mbele Tasaf wilayani Iramba.
Tunawapa pole Mkuu wa Wilaya Iramba, Mkurugenzi Mtendaji (W), familia na wana Iramba kwa Ujumla kwa kuondokewa na Mpendwa wao.
Bwana ametoa bwana ametoa.