Kwa ujumla ukiangalia kwa Rais aliyepita utaona zoezi lilikuwa linafuata pattern fulani. Hii inaashiria uwepo wa uratibu.Naomba pia kumfahamu Mratibu wa kuunga mkono juhudi za Rais aliyepita
Mfadhili alikuwa mwendazake,mtoa pesa Bashiru na mratibu Pole pole,Naomba pia kumfahamu Mratibu wa kuunga mkono juhudi za Rais aliyepita
Heri James na Bashite mbona siwaoni! Ina maana hawakuwepo! Halafu sioni hata jina la mmama mmoja tu! Vipi akina Anjela Kairuki, Jokate Mwegelo, nk. Nao hawakuchangia chochote!!Mfadhili alikuwa mwendazake,mtoa pesa Bashiru na mratibu Pole pole,
Field officers ni:
1. Sabaya DC Hai,
2. Gelasius Byakanwa RC Mtwara (huyu alikuwa Hai DC) ,
3. Alexander Mnyeti ( former Manyara RC, sasa hv mbunge Misungwi alikuwa DC Arumeru zoezi la kununua madiwani lilipoanzia),
4. Gambo former Arusha RC now Arusha MP,
5. RC Iringa Ally Happy
Mkuu unaweza kui-expand tupate complicity wote wa kuratibu, kufadhili na kugharamia manunuzi ya zoezi la uungaji fake wa juhudi.Heri James na Bashite mbona siwaoni! Ina maana hawakuwepo! Halafu sioni hata jina la mmama mmoja tu! Vipi akina Anjela Kairuki, Jokate Mwegelo, nk. Nao hawakuchangia chochote!!
Dr. Bashiru Ally.Naomba pia kumfahamu Mratibu wa kuunga mkono juhudi za Rais aliyepita