Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
Great Thinkers,
Nipend kuchukua fursa hii kumshukutu Mkurugenzi wa TRC Kadogosa kwa kufuatilia na hatimaye kufanyia kazi kero ya viyoyozi jengo la abiria Kituo cha Magufuli, yaani mpaka tunaondoka hapo Dar kwenye jengo viyoyozi ndiyo vilikuwa vinaelekea kupata baridi, na kwenye train leo ni ajabu AC iko inafanya kazi.
Nadhani Mkurugenzi awe makini kuna wahuni wanamhujumu. Fuatilia kila kitu ndugu Kadogosa, Dkt Samia hachelewi kutoa mkeka!
Ushauri: Kama gharama za uendeshaji kubwa tunashauri bei ya safari iongezwe ili Watanzania tupate huduma nzuri kuliko tulipe kidogo halafu huduma mbovu. Mfano Dar-Moro iwe 30k bei ya chini na Dodoma iwe 50k na madaraja mengine bei iwe juu ili huduma ziwe nzuri.
Tuache akili za kuwaza umasikini eti watu hawana hela halafu tulipwa kidogo then huduma ziwe mbovu kama tunavyoteseka na mwendokasi ya Dar. Tusiwaendekeze bei ndogo huduma ziendane na uhalisia wa gharama.
Pia soma: KERO - Jengo la abiria SGR Stesheni ya Magufuli viyoyozi havifanyi kazi